Pata Uzoefu wa Upendo wa Mungu, Ibada yenye nguvu, na Ushirika unaobadilisha maisha.

"Yeyote aniaminiye, kama Maandiko yasemavyo, mito ya maji yaliyo hai itatiririka kutoka ndani yake." - Yohana 7:38

Dhima

Kuwa Kanisa lenye kuhudumia rika zote na tamaduni mbalimbali ili Kufikia watu, Kukuza, na Kuhudumia.

Maono

Kuwasaidia watu wa mataifa yote kuwa wanafunzi halisi wa Kristo Yesu, kwa msaada wa Roho Mtakatifu.

Dhima

Kuwa Kanisa lenye kuhudumia rika zote na tamaduni mbalimbali ili Kufikia watu, Kukuza, na Kuhudumia.

Maono

Kuwasaidia watu wa mataifa yote kuwa wanafunzi halisi wa Kristo Yesu, kwa msaada wa Roho Mtakatifu.

Karibu ICC Mito ya Uzima!

Neema na amani kwako katika Jina la Yesu! Tumefurahi kuwa umepata njia ya kutufikia malaha petu pazuri mtandaoni. Tuko Manispaa ya Morogoro, Tanzania, Mtaa wa Area Five, barabara CC, plot 172, nyumba namba 8. ICC Mito ya Uzima—“Rivers of Life”—ni familia yenye uchangamfu inayojitolea kuwafikia waliopotea dhambini, kukua katika imani, na kuhudumia jamii yetu kwa upendo. 

Iwapo unatafuta tumaini katika Yesu, unatafuta ushirika, au mahali pa kutumia karama zako kwa utukufu wa Mungu, karibu, hapa umefika. Kama Mchungaji Kiongozi, mimi, Emanuel, nina shauku katika kuliongoza kanisa letu ili kuakisi moyo wa Upendo wa Kristo kupitia kuwafikia watu, kuwafanya kuwa wanafunzi, na kuwahudumia kivitendo. 

Jiunge nasi kwa ibada zenye nguvu, mafundisho yanayozingatia Biblia, na fursa za kuleta mabadiliko chanya. Popote ulipo kwenye safari yako ya kiimani, tuko hapa ili ku-enda pamoja nawe. 

Tutembelee ana kwa ana au mtandaoni — tuna shauku ya kujumika na kuwa pamoja nawe. 

Mungu akubariki sana,

Pastor Emanuel

Lead Pastor,

ICC Mito ya Uzima.

Maadili yetu ya msingi

Kristo

Ndiye Kiini, huinuliwa na kutiliwa mkazo

Biblia

Kile Mungu anasema ndiyo Mamlaka ya juu kutuongoza.

Umisheni

Kusudi la Mungu hutiliwa mkazo.

Roho mtakatifu

Ni Kiongozi, Mwalimu, hututia nguvu katika huduma zote.

Kujali watu

Ni mapigo ya mioyo yetu kama na Kristo.

Uadilifu

Uwakili mwema wa Baraka za Mungu hutiliwa mkazo.

Maadili yetu ya msingi

Kristo

Ndiye Kiini, huinuliwa na kutiliwa mkazo

Biblia

Kile Mungu anasema ndiyo Mamlaka ya juu kutuongoza.

Umisheni

Kusudi la Mungu hutiliwa mkazo.

Roho mtakatifu

Ni Kiongozi, Mwalimu, hututia nguvu katika huduma zote.

Kujali watu

Ni mapigo ya mioyo yetu kama na Kristo.

Uadilifu

Uwakili mwema wa Baraka za Mungu hutiliwa mkazo.

Tunakukaribisha ICC Mito ya Uzima kila jumapili @ 7:30 am kwa huduma ya kiingereza, na @ 10:15 kwa huduma ya Kiswahili. Tunapatikana mtaa wa Area Five mkabala na zahanati ya Mt. Karoli Lwanga, katika manispaa ya Morogoro.

Weekly Church Services

Waefeso 4:13 - Kazi hiyo itaende lea mpaka sote tuufikie umoja katika imani na katika kumjua Mwana wa Mungu; tupate kuwa watu waliokomaa kiroho kwa kufikia kiwango cha ukamilifu wote ulio ndani ya Kristo.

Scroll to Top