Njia za kutusaidia kukua

Maandiko : Wakolosai 1:9-12

Utangulizi.

1.  Embracing spiritual growth is a profound journey that transforms lives by deepening one’s connection with the Almighty God and fostering personal Development.

2. Wakristo wengi wanatamani kukua kiroho, kuwa na nguvu zaidi, kushinda majaribu kwa bidii zaidi, kutembea na Kristo kikamilifu zaidi.

3. Ibilisi ndiye adui wetu wa kudumu, mwenye Nia ya kutupotosha, kutukatisha tamaa, na kupunguza imani yetu katika nguvu za Bwana, Efe. 6:10.

4. Hapa kuna baadhi ya njia za kutusaidia kukua.

I. JENGA SHAUKU YA KUKUA, KUOMBA, NA KUJIFUNZA KUKUA, Efe. 3:14-19; Kol. 1:9-12; Fil. 1:9–11.

  1. Follow up by acting on your prayers, Phil. 3:13-14.
  2. 2. Weka kando vizuizi na dhambi, Ebr. 12:1-2.

II. SOMA NENO LA MUNGU MARA KWA MARA NA KWA MAKUSUDI, Ebr. 4:12-13.

  1. 1. Weka neno la Mungu moyoni mwako, Zab. 119:11; 37:30-31.
  2. 2. Weka kando vizuizi na dhambi, Ebr. 12:1-2.

III. CHAGUA MARAFIKI WEMA.

  1. 1. Ushawishi wa marafiki una nguvu, 1 Kor. 15:33-34.
  2. 2. Tunajifunza na kuiga kutoka kwa wenzetu tunao ongozana na kuambatana nao, Mit. 22:24-25.
  3. 3. Mwenzi wa maisha ( make/ mume) Ndiye mwenye ushawishi mkubwa kuliko binadamu wote, 1 Fal. 11:4 ( 1Kor. 7:33 ). Kuwa na busara na hekima ya Mungu unapochagua mwenzi wa maisha wa kuoa au kuolewa naye. Tegemea kabisa hekima ya Mungu, (si hekima ya wanadamu, si ya ulimwengu huu, wala ya watawala wa ulimwengu huu) wakati wa kuchagua mwenzi wa maisha.

IV. FIKIRIA NA KUTAFAKARI MAMBO SAHIHI.

  1. 1. Sisi ni matokeo ya Yale tunayotafakari na tunavyofikiri, Mit. 23:7.
  2. 2. Wanadamu huwa tunafanya kile tunachofikiri, Flp. 4:8.
  3. 3. Huwa tunajitahidi na kujibidiisha kufikia malengo (makusudi tunayoyawaza), Kol. 3:1-4.
  4. 4. Linda moyo wako kwa bidii zote. Ni muhimu kuweka mipaka ya kile unachotazama, kile unachosikia, mahali unapoenda kwani vina athari ya moja kwa moja kwenye maisha yako. Mithali 4:23

V.  EXAMINE YOURSELF CONSTANTLY.

  1. 1. Kujichunguza na kujithibitisha kibinafsi kwa kutumia IMANI ( Kusadiki uwepo wa Mungu NA kutii na kuyatenda maagizo yote ya Mungu), 2 Kor. 13:5
  2. 2. Kujijaribu wenyewe huko kunapaswa kusababisha marekebisho ya unyenyekevu, sio ulinganisho wa juu-juu, Lk. 18:9-14; Gal. 6:3-4.
  3. 3. Sheria ya uhuru ikiwa kioo chetu, tunaweza kujiona waziwazi kuwa “watendaji wa Neno,” Yak. 1:22-25.

VI. KUFANYA IBADA DAIMA.

1. Tendeleeni kwa uthabiti katika ibada, Mdo 2:42.

a.  Praising God, teaching and admonishing, Col. 3:16.

    b.  Edification in assembled worship, 1 Cor. 14:3, 5, 12, 15-17, 26.

2. Huwezi kuwa na nguvu (kujengwa) kwa ibada ya hapa na pale, ya kuvusha-vusha, isiyo na muendelezo ( mfano: mara 1 kati ya mara 3 kwa wiki), Ebr. 10:24-25.

3. Tujenge Kiu ya kuabudu, Zab. 122:1-2; Matendo 2:42.

Hitimisho

1. Ukuaji wa kiroho una faida nzuri za ajabu sasa, na katika ulimwengu ujao:

  a. Unakuwa Mwanafunzi mwenye matunda, Yoh 15:1-8.

  b. Unadumu katika upendo na furaha ya Kristo, Yoh. 15:9-11.

  c. Ulinzi dhidi ya dhambi, na kisha kuingia katika ufalme wa milele, 2 Pet. 1:8-11.

2. Mungu atusaidie kukua kiroho, tunapojibidiisha katika njia zake za kufanya hivyo.

Na: Mchungaji Emanuel Meshlyek

Kanisa la ICC Mito ya Uzima

www.icc.or.tz

Leave a Comment

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

swSwahili
Scroll to Top